Jumla

Changamoto Unazokabiliana Nazo Kulinda Faragha Katika Zama Hizi Za Teknolojia

Maneno haya ya mwanasiasa mwingereza William Pitt aliyepata kuishi kati ya mwaka 1759 – 1806… yanatukumbusha kwamba kila mtu anayo haki ya kuwa na faragha, kuwa na mambo ya siri maishani mwake bila kuingiliwa na mtu yeyote yule. Alipata kusema: “MTU ALIYE MASKINI HOHEHAHE ANAWEZA KUKINZA MAMLAKA YA MFALME WA UINGEREZA AKIWA NYUMBANI MWAKE.” Watu […]

Je, Nani Hulipia Huduma ya Intaneti?

Chanzo cha kawaida cha habari kinachoandaliwa na Internet ni mfumo wa kidunia wa kupeleka na kupokea taarifa, barua, ujumbe kielektroni, uitwao E-mail, Ujumbe Mfupi (SMS), Ujumbe wa Picha n.k. Kwa hakika, E-mail na SMS huwakilisha sehemu kubwa ya shughuli za Internet na kwa wengi ndiyo chanzo cha habari pekee cha Internet wanachotumia. Mfumo huo hufanyaje kazi? Ili kujibu swali hilo, nitatumia mfumo wa Email kutolea […]

Tahadhari Unayopaswa Kuzingita Pale Mtu Anapokuahidi Kwamba Utapata Pesa au Faida Kubwa kwa Urahisi Ukijiunga na Biashara Fulani

Huenda umesikia msemo huu, “Huwezi kumdanganya mtu mwaminifu.” Sawa na misemo mingi, msemo huo si wa kweli. Kila siku watu waaminifu hudanganywa na walaghai; uaminifu peke yake hauwalindi. Watu fulani wenye akili sana ulimwenguni wanatunga hila na kutumia mbinu za kuwanyang’anya watu pesa. Zaidi ya miaka mia moja iliyopita, mwandishi mmoja alisema: “Visa fulani vya […]

Hizi Ni Athari Zinazoweza Kusababishwa Na Marafiki Wako Wa Mtandaoni

MNAMO Aprili 2, 2016, kabla ya kujiua mwanamke fulani mwenye umri wa miaka 42 aliandika ujumbe kwenye tovuti hii ya Facebook. Ujumbe wake ulikuwa kilio cha kuomba msaada. Ingawa alikuwa na “marafiki” zaidi ya elfu moja kwenye mtandao, hakuna hata mmoja aliyemsaidia. Siku moja baadaye, majirani walimpata akiwa amekufa. Alijiua kwa kumeza dawa nyingi kupita […]

Ni Mtandao Gani Wa Kijamii Ulio Mzuri Kujenga Biashara?

Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu sana katika ulimwengu wa biashara leo hii. Ulimwengu wa zamani ambao mfanyabiashara anaweka tangazo na kusikilizwa (japokuwa bidhaa na huduma zake ni mbaya), umeanza kufifia. Wasikilizaji na watazamaji wa matangazo hayo wamekuwa na uwezo mkubwa wa kukusema vibaya hadharani na kuvuruga heshima ya biashara yako. Kwa ufupi, MTEJA AMEKUWA MFALME MPYA Na […]

Mbinu Hizi Zitakufanya Uwe Kivutio Mtandaoni na Kila Mtu Utakayekutana Naye.

Nianze makala haya kwa kueleza kisa cha Anna ambaye ana umri wa miaka 26. Nilikutana naye ofisini kwangu kwa ajili ya kupata ushauri juu ya wazo lake la biashara ambayo ameianzisha hivi karibuni. Katika mazungumzo yetu, Anna alinieleza namna ambavyo hutumia simu/kompyuta yake. Alieleza kua yeye  hutumia kompyuta kazini. Lakini akiwa nyumbani, yeye hujipata akitumia Intaneti kutafuta habari, kununua vitu, […]

Huna Sababu Ya Kutoanzisha BIASHARA Hii

“Kwa Nini Uanzishaji Wa Biashara Sasa Ni Rahisi Na Wa Gharama Ndogo Kushinda Ilivyokuwa Hapa Kabla” Enzi za miaka ya 85 hadi 95 zilikuwa zama za raha sana kwa wafanyabiashara nchini Tanzania. Ni kipindi ambacho nchi ilikuwa inatoka katika siasa za ujamaa na kujitegema na kufuata mfumo mpya uliowapa watu ‘fursa‘ ya kushiriki katika biashara kwa uhuru zaidi. Wafanyabiashara […]

Mambo 5 Muhimu ya Kuzingatia Wakati Unatafuta AJIRA

NI NANI hupata kazi bora? Je, ni yule anayestahili zaidi? “La hasha,” anasema Brian, mshauri wa kazi. “Mara nyingi yule anayetafuta kazi akitumia mbinu nzuri ndiye hufanikiwa.” Unaweza kutumia mbinu gani kutafuta kazi? Haya hapa ni madokezo matano. 1. Uwe Mwenye Utaratibu Ni rahisi kuvunjika moyo ikiwa umepoteza kazi nzuri au hujaajiriwa kwa muda fulani. Katharina, […]

Mambo ya Kufanya Kuweza Kunufaika Kiuchumi na Matumizi ya Intaneti

Mashine za kupiga chapa zilipoanza kutumiwa karne nyingi zilizopita, ilibadilisha njia ya watu ya kupashana habari. Katika nyakati zetu, kuanzishwa kwa Intaneti kumelinganishwa na mabadiliko hayo. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuweko na ongezeko kubwa sana la watumiaji wa intanenti duniani.  Kifaa hicho chenye faida kimeitwa kifaa cha ulimwenguni pote cha kupashana habari, (world wide web – www.) na ndivyo ilivyo. Unapotumia “mtandao […]