Facebook

Mambo 12 Unayopaswa Kuyatilia Maanani Kujilinda Na WEZI Wa Mtandaoni

Napenda nianze makala haya kwa kusimulia visa viwili vifuatavyo. Kisa cha kwanza ni cha William, mwalimu aliyestaafu huko Nairobi, Kenya, alipokea barua pepe ambayo alifikiri imetoka kwa kampuni inayoshughulikia huduma za Intaneti. Barua pepe hiyo ilisema kwamba habari kuhusu malipo yake kwa ajili ya huduma hizo ilikuwa imepotea. William alijaza fomu aliyotumiwa na kuirudisha kupitia barua […]