Blogu

Awamu 4 za Mafanikio ya Mwanablogu

Awamu nne ninazoenda kuangazia katika makala haya zitakusaidia kujitathimini mahali ulipo na kutoa mwangaza wa ni-hatua gani zichukuliwe. Lengo likiwa ni kuifanya blogu yako ikidhi matakwa yako ya kukuingizia kipato. Hapa nazungumza na blogger wa aina yoyote ile. Lakini zaidi naenda kumsaidia yule anayefikiria kuanzisha blogu kwa sababu tu, kamwona fulani amefanikiwa au kaambiwa kuwa […]

Namna Ya Kutumia Blogu KUJENGA Biashara Yako

Kama unamiliki (una mpango) blogu na unaitumia kujenga biashara yako lakini hupati matokeo uliyokusudia basi hakikisha unatia umakini katika maneno yafuatayo. Ninachoenda kukushirikisha katika makala hii ni stratejia zinazotumiwa na wana masoko wa mtandaoni walio kubuhu (online marketing gurus), kunasa mamia ya wateja kwa siku, kufanya mauzo na kuingiza maelfu ya watu wapya katika baishara zao… …Katika Kasi Ya […]

Namna Uanzishaji wa Biashara ya Intaneti Nyumbani Kwako Unavyoweza Kubadili Maisha Yako!

Kama zinavyo onyesha takwimu kwa mwaka wa 2015, idadi ya watumiaji wa intaneti kidunia ilikuwa ni watu bilioni 3.17, ongezeko kutoka watu bilioni 2.94 katika mwaka 2014. Kwetu hapa nchini Tanzania, mambo yako vivyo hivyo…mwaka 2015 idadi ya watumiaji wa intaneti ilikuwa ni takribani milioni 17 ongezeko kutoka watu milioni 14 katika mwaka 2014.  Takwimu zifuatazo hapa chini ni kutoka TCRA za mwaka 2015. Kwa muktadha wa takwimu hizo, utakubaliana nami kwamba katika ulimwengu wa sasa hauna […]

Aina Ya Website/Blogu Inayoweza Kukuingizia Kipato Ukiwa Nyumbani Hata Kama Huna Ujuzi Wa Kompyuta.

Hallo rafiki, Habari ya muda huu? Natumaini u-mzima kama ilivyo kwangu. Nimekuwa mwenye furaha sana leo na kwa maana hiyo ningependa kukushirikisaha habari kubwa sana ambayo naamini hakuna msanifu wa tovuti ambaye aliwahi kukueleza. Habari hii inahusu aina ya tovuti inayoweza kukuingizia pesa hata kama huna elimu yoyote juu ya kompyuta. Hakuwahi kukueleza si kwa sababu wasanifu hawa ni […]

Huna Sababu Ya Kutoanzisha Blogu LEO! Jambo Usilofahamu Kuhusu Millard Ayo

Kama unamiliki (una mpango) blogu na unaitumia kujenga biashara yako lakini hupati matokeo uliyokusudia basi hakikisha unatia umakini katika maneno yafuatayo. Ninachoenda kukushirikisha katika makala hii ni stratejia zinazotumiwa na wana masoko wa mtandaoni walio kubuhu (online marketing gurus), kunasa mamia ya wateja kwa siku, kufanya mauzo na kuingiza mamilioni ya pesa katika akaunti zao… …Kwa […]