Biashara

Kwanini Napenda Kufanya Kazi Nikitokea Nyumbani

Kila mara niulizwapo swali… Lusabara, unjishugulisha na nini kuweza kujiingizia kipato? Pasina kupepesa macho jibu langu huwa ni hili: Nashauri na kuwasaidia wajasiliamali wadogo kusanifu na kuwajengea tovuti inayoongeza mauzo ya bidhaa/huduma zao kupitia mtandao wa intaneti. Hali kadhalika, ni mshirika masoko (Affiliate Marketer) niliyejiunga na makampuni mbali mbali duniani, kutangaza na kuuza bidhaa/huduma zao […]

Jinsi ya Kufanya Biashara Ukiwa Nyumbani Kupitia Mtandao wa Intaneti

Napenda nianze makala hii fupi kwa nukuu ya bwana ‘Trace Chapman – wa Fast Car’. Yeye anasema: “Starting from ZERO got nothing to lose”. Akiwa na maana kwamba (Tafsiri isiyo rasmi) “Ukianzia Kwenye SUFURI unakuwa hauna cha kupoteza” Kila ninapokutana na vijana na kufanya nao mazungumzo, lugha ya SINA MTAJI huwa inatamalaki vinywani mwao. Jambo hili hutumiwa […]

Mbinu Hizi Zitakufanya Uwe Kivutio Mtandaoni na Kila Mtu Utakayekutana Naye.

Nianze makala haya kwa kueleza kisa cha Anna ambaye ana umri wa miaka 26. Nilikutana naye ofisini kwangu kwa ajili ya kupata ushauri juu ya wazo lake la biashara ambayo ameianzisha hivi karibuni. Katika mazungumzo yetu, Anna alinieleza namna ambavyo hutumia simu/kompyuta yake. Alieleza kua yeye  hutumia kompyuta kazini. Lakini akiwa nyumbani, yeye hujipata akitumia Intaneti kutafuta habari, kununua vitu, […]

Katika Hili, VIJANA Wengi Wa Kitanzania Bado Wako Gizani.

Internet ni mfumo mkubwa sana wa kompyuta unaounganisha mamilioni ya kompyuta ulimwenguni pote. Ili kujua ukubwa wake,Inktomi, kampuni inayotayarisha programu za kompyuta, ilitumia muda wa miezi minne kuchunguza na kuainisha Web. Ilipata nini? Idadi ya kurasa zisizo za kawaida ilikuwa zaidi ya bilioni moja! Kiingereza ndicho kilichokuwa lugha inayotumiwa zaidi katika Internet. Hutumiwa zaidi ya […]

Hizi Hapa Ni Athari & Faida za Matumizi ya Mitandao ya Kijamii

Ni njia gani za mawasiliano zilizoonyeshwa hapa chini ambazo wewe umetumia katika mwezi uliopita? Mazungumzo ya uso kwa uso Barua au kadi iliyoandikwa kwa mkono Simu Barua-pepe Ujumbe mfupi wa simu Ujumbe mfupi kupitia kompyuta Kupiga gumzo kupitia video Mitandao ya kijamii Hakujawahi kuwa na njia nyingi za kuwasiliana kama ilivyo leo, kila njia ikiwa na faida […]

Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kukubali Urafiki Kupitia Mitandao ya Kijamii

Leo kuliko wakati mwigine wowote katika historia, teknolojia inatuwezesha kuwasiliana na watu wengi zaidi na kwa urahisi zaidi. Hata hivyo, huenda uhusiano huo ukawa wa kijuujuu tu. Ni ukweli usiopingika kwamba uhusiano wetu na marafiki zetu tuliokutana nao mtandaoni si wa kudumu. Lakini bado wazee wetu wana urafiki wa karibu na watu aliofahamiana nao zamani! Mara […]

Ni Mtandao Gani Wa Kijamii Ulio Mzuri Kujenga Biashara?

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate. velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa qui officia deserunt mollit anim id est laborum. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae ab illo inventore veritatis et quasi architecto beatae vitae dicta sunt explicabo. Nemo enim ipsam voluptatem quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit, sed quia consequuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt. Neque porro quisquam est, qui dolorem ipsum quia dolor sit amet, consectetur, adipisci velit, sed quia non numquam eius modi tempora incidunt ut labore et dolore magnam aliquam quaerat voluptatem.