Articles Posted by Lusabara

Kwanini Napenda Kufanya Kazi Nikitokea Nyumbani

Kila mara niulizwapo swali… Lusabara, unjishugulisha na nini kuweza kujiingizia kipato? Pasina kupepesa macho jibu langu huwa ni hili: Nashauri na kuwasaidia wajasiliamali wadogo kusanifu na kuwajengea tovuti inayoongeza mauzo ya bidhaa/huduma zao kupitia mtandao wa intaneti. Hali kadhalika, ni mshirika masoko (Affiliate Marketer) niliyejiunga na makampuni mbali mbali duniani, kutangaza na kuuza bidhaa/huduma zao […]

Jinsi Ya Kutengeneza TZS 1,150,000/Mwezi Kupitia AirBnB

Inawezekanaje kampuni isiyo na nyumba ya kulala wageni au hoteli ikawa ndo kampuni kubwa duniani kwa kulaza wageni? Marriot ndo kampuni inayojihusisha na hoteli iliyo kubwa kushinda zote ulimwenguni kwa sasa, lakini jambo la kushangaza ina vyumba vichache ikilinganishwa na AirBnB isiyomiliki hoteli wala nyumba ya kulala wageni! Hata hivyo, hili si jambo la kushangaza […]
2 Comments

Jinsi ya Kufanya Biashara Ukiwa Nyumbani Kupitia Mtandao wa Intaneti

Napenda nianze makala hii fupi kwa nukuu ya bwana ‘Trace Chapman – wa Fast Car’. Yeye anasema: “Starting from ZERO got nothing to lose”. Akiwa na maana kwamba (Tafsiri isiyo rasmi) “Ukianzia Kwenye SUFURI unakuwa hauna cha kupoteza” Kila ninapokutana na vijana na kufanya nao mazungumzo, lugha ya SINA MTAJI huwa inatamalaki vinywani mwao. Jambo hili hutumiwa […]

Jinsi ya Kuepukana na Matumizi Yasiyo ya Lazima

Mbali na kushinikizwa na wauzaji bidhaa, hisia zetu pamoja na mazoea yetu yanaweza kutuchochea kununua vitu kupita kiasi. Yafuatayo ni madokezo sita yatakayokusaidia kudhibiti ununuzi wako. Epuka kununua vitu ambavyo hukupangia. Je, wewe hufurahia msisimuko unaotokana na kununua vitu, hasa vile vilivyopunguzwa bei? Ikiwa ndivyo, huenda ukawa na mwelekeo wa kununua vitu ambavyo hukupangia. Ili kuepuka […]

Awamu 4 za Mafanikio ya Mwanablogu

Awamu nne ninazoenda kuangazia katika makala haya zitakusaidia kujitathimini mahali ulipo na kutoa mwangaza wa ni-hatua gani zichukuliwe. Lengo likiwa ni kuifanya blogu yako ikidhi matakwa yako ya kukuingizia kipato. Hapa nazungumza na blogger wa aina yoyote ile. Lakini zaidi naenda kumsaidia yule anayefikiria kuanzisha blogu kwa sababu tu, kamwona fulani amefanikiwa au kaambiwa kuwa […]

Mbinu 8 Ambazo Kila Mtu Anapaswa Kuzifahamu Kuweza Kulinda Taarifa Za Fedha Dhidi ya Wezi Wa Mtandaoni.

Je, umewahi kujaribu kutafuta neno au sentensi ambayo herufi zake zimebadilishwa? Je, umewahi kununua kitu kupitia Intaneti au ukatumia kompyuta kupata rekodi zako za benki? Ikiwa ndivyo, basi umetumia maandishi ya siri kuficha au kufichua habari. HADI hivi karibuni, maandishi ya siri yalitumiwa na serikali, mabalozi, wapelelezi, na jeshi. Lakini sasa watu wengi zaidi wanayatumia. Tangu kubuniwa […]

Changamoto Unazokabiliana Nazo Kulinda Faragha Katika Zama Hizi Za Teknolojia

Maneno haya ya mwanasiasa mwingereza William Pitt aliyepata kuishi kati ya mwaka 1759 – 1806… yanatukumbusha kwamba kila mtu anayo haki ya kuwa na faragha, kuwa na mambo ya siri maishani mwake bila kuingiliwa na mtu yeyote yule. Alipata kusema: “MTU ALIYE MASKINI HOHEHAHE ANAWEZA KUKINZA MAMLAKA YA MFALME WA UINGEREZA AKIWA NYUMBANI MWAKE.” Watu […]

Je, Nani Hulipia Huduma ya Intaneti?

Chanzo cha kawaida cha habari kinachoandaliwa na Internet ni mfumo wa kidunia wa kupeleka na kupokea taarifa, barua, ujumbe kielektroni, uitwao E-mail, Ujumbe Mfupi (SMS), Ujumbe wa Picha n.k. Kwa hakika, E-mail na SMS huwakilisha sehemu kubwa ya shughuli za Internet na kwa wengi ndiyo chanzo cha habari pekee cha Internet wanachotumia. Mfumo huo hufanyaje kazi? Ili kujibu swali hilo, nitatumia mfumo wa Email kutolea […]

Tahadhari Unayopaswa Kuzingita Pale Mtu Anapokuahidi Kwamba Utapata Pesa au Faida Kubwa kwa Urahisi Ukijiunga na Biashara Fulani

Huenda umesikia msemo huu, “Huwezi kumdanganya mtu mwaminifu.” Sawa na misemo mingi, msemo huo si wa kweli. Kila siku watu waaminifu hudanganywa na walaghai; uaminifu peke yake hauwalindi. Watu fulani wenye akili sana ulimwenguni wanatunga hila na kutumia mbinu za kuwanyang’anya watu pesa. Zaidi ya miaka mia moja iliyopita, mwandishi mmoja alisema: “Visa fulani vya […]