Lengo langu ni KUKUSAIDIA kuongeza KIPATO haraka iwezekanavyo kupitia biashara ya network marketing kwa msaada wa INTANETI...

Karibu katika lusabara.com

Tovuti inayokusaidia kuongeza kipato haraka iwezekanavyo kupitia biashara ya network marketing...

Usishike kanuni kipofu 🤔, naposema HARAKA simaanishi kesho au mwezi ujao… la hasha! Kumbuka hii ni biashara tena kuliko tulizo-zizoea, ni biashara inayohitaji kujifunza na kufanya kwa bidii sana. Nachomaanisha ni kwamba, endapo utafuatisha mafunzo nitakayotoa kupitia tovuti hii… inaweza kukuchua miaka kati ya 3 hadi 5 kutimiza malengo ambayo ungeyatimiza katika miaka 30 ya ajira!

Ndiyo, nina uhakika na ninachokueleza. Kama bado huamini, endelea kututizama… lakini kama unaamini na hujua ufanyeje, hebu shika simu yako ingiza namba hizi, na…

Nipigie SASA:

+255-743-971-531

lusabara (17)

Ukweli kuntu kuhusu biashara ya network marketing!

Endapo unakabiliana na moja ya changamoto kati ya hizi 6... tafadhali nisikilize kwa umakini...

Hujui jinsi ya kupata prospects wapya?

Hauko mwenyewe na hata SIYO kosa lako 😃. Tatizo liko kwa hawa upliner wasiopenda kubadilika. Bado wamekumbatia mbinu zilizokuwa zikifanya kazi kabla ya social media kuja. Nilipoanza biashara, nakumbuka upliner wangu aliniambia… 

  1. Niandae orodha ya majina yasiyopungua 150 na nianze kuwapigia simu… mmoja baada ya mwingine niwaalike kwenye mikutano ya BOM. 
  2. Nitengeneza brochure, business card na kuanza kuzigawa, n.k.
Kama upo kwenye biashara hii, unaelewa nachomaanisha! Kama bado zinakufanyia kazi, endelea nazo… lakini kama uko kama mimi, basi matumizi ya INTANETI yanakuhusu. Wakati natafuta njia mbadala, nikagundua kwamba ni watu wale tunaowafukuzia mitaani ndo wale wale waliojaa kwenye mitandao ya kijamii. Swali likaja, Je, nawezaje kuwafanya wao wanitafute mimi badala ya mimi kuwawinda kwenye INBOX zao? Hatimaye majibu yalipatikana…. nilitengeza sumaku!

Uko tayari kutumia sumaku ya mtandao kunasa wateja?

Jiunge na timu ya Braiweb kupata mafunzo na zana za kisasa.

Bado unapoteza MUDA kuongea na watu wasio sahihi kwa biashara yako?

Nisijue kwa upande wako, lakini kwangu mimi hakuna jambo lililokuwa linaniumiza kama hili! Unatumia masaa yako 2/3 na vinywaji juu yake kuongea na mtu/watu kisha wote wanakula kona. Hata simu yako hawapokei. 🤣🤣

Hivi huchoki?? Unajua ni kwa nini? 

Upliener wako alikufunza MBINU ya mwaka 1947s. Katika moja ya misingi iliyopitwa kati ya ile maarufu 8 (The 8 Basic Building Blocks), ni huu msingi #4: The Art of Prospecting & Invitation. Moja ya mbinu ya katika msingi huu ni 5-Feet Rule, kwamba ongea na kila mmoja aliye ndani ya hatua zako… 

Huu ni UWONGO! Mbinu hii haifanyi kazi kwa asilimia 99.9999999%. 
Ukweli ni kwamba SI kila unayekutana naye njiani ni mteja wako. Kumsimamisha kila mmoja unamweleza kuhusu biashara yako, ni sawa na kumsimamisha kila mtu kumuuzia kitimoto… kajaribu, kitakachokutokea utajua mwenyewe 😃

Sijui kwa nini bado upliner wengi wanaendelea kufundisha mbinu hii. 

Ufanyeje kupata watu sahihi?

Tumia funnel (chujio), mazaga zaga yote yatatupiliwa nje nawe utabaki na watu sahihi walioko tayari kununua bidhaa/kujiunga na biashara yako. INTANETI ni kiungo muhimu katika biashara hii

Swali ni Je, natengenezaje funnel? Mfano wa funneli hiyo ni ukurasa huu unaosoma sasa 😜. Nawafundisha na kuwapatia nyenzo za kazi wote wanaojiunga kufanya biashara nami. Nawe ungependa kuwa miongoni mwao?

Bado unaalika watu wengi kwenye mikutano lakini hawaji?

Wengi wanadhani wanatumia approach mbaya… siyo kweli! Hata upliner wako ambaye amekuwa kwenye biashara hii kwa muda mrefu naya anaalika watu na hawaji. Mwishoni mwa miaka ya 2000s na mwanzoni mwa muongo wa pili wa karne hii, kumbi nyingi zilikuwa zikifurika watu. 

Nakumbuka 2013, kikundi kimoja cha wafanyabiashara ya MLM waliwahi kujaza ukumbi wa Mwl. Julius Nyerere Inter unaobeba zaidi ya watu 1,500. Kikundi kile kile kwa sasa hakijazi hata watu 100. 

Kwa nini watu hawaitikii mialiko ya mikutano? 

Wengi wa wanaohojiwa wanasema hakuna jipyaKwa lugha nyingine, hakuna thamani wanayopata kwa kuhudhuria mikutano hiyo. Wanasema ni kuhudhuria mikutano ya MLM ni

kupoteza muda. 

Hatahivyo, katika karne hii kuna sababu gani ya mtu kutoka Bunju, Mbagala, Mbezi, Gongo la mboto, n.k. kutumia takibrani masaa 4 – 6 njiani kwenda posta kuhudhuria mkutano wa masaa 2, wakati unaweza kurekodi video au ukamtumia link ya ukurasa kama huu akatizama au kusoma kupitia simu ya kiganjani akiwa nyumbani kwake?

Baada ya kugundua hilo kwa upande wetu, tulitafuta njia ya kuonyesha biashara yetu wastani wa watu 1000/siku kupitia smartphone zao badala ya kuhangaika kualika watu kwenye mikutano au kukutana na watu 10 kwa siku.

Hujihisi vibaya pale upliner wako anapokuambia ukauze bidhaa?

Hauko peke yako… 🤓

Nakumbuka hisia ambazo hupata wakati nimehudhuria madarasa kuhusu jinsi ya kuuza bidhaa 🙄 
Kiukweli sipendi kuuza, hata kidogo. Nina aibu kuliko kawaida… nilikuwa nikihisi mgonjwa pale upliner wangu alipokuwa akiniambia anipe bidhaa nikauze. Kesho yake hanioni…

Hata sasa bado nachukia kuuza, lakini ukweli ni kwamba ili uweze kufanya biashara ni lazima uuze.
Utapataje commission kama hujauza? Haiwezekani… lazima bidhaa zitoke. 

Swali la msingi linakuja, utawezaje kuuza pasipo kutembeza biadhaa maofisi, mitaani, kuwasumbua jamaa na marafiki, kupakia bidhaa kwenye mitandao ya kijamii, n.k.?

Wakati nafanya utafiti wa ni kwa jinsi gani naweza kuwafanya watu wanitafute wakiwa na hela mkononi kununua biadhaa zangu, nikagundua kwamba kihasilia watu wanapenda kununua lakini hawapendi kuuziwa. Swali likaja, nafanyaje waweze kununua pasina mimi kuwauzia? Hatimaye nilipata suluhisho…

Tunatumia mbinu ya Attraction marketing, au kwa lugha nyingine education based marketing

Iko hivi, tambua soko lako, waelimishe jinsi ya kutatua changamoto zinazowakabili, jenga jukwaa (wafuasi), boresha urafiki/uhusiano nao, wauzie biadhaa. Stratejia hii inajulikana kama B – E – S.

Unaongea na wastani wa watu 10/siku lakini hakuna anayejiunga na biashara yako... 😰

Unapokuwa umejiunga na biashara hii, ni kawaida kusikia wakifundisha kwamba ukizungumza na watu 10 unapata mtu mmoja wa kununua bidhaa au kujiunga na biashara yako. Hivyo, ukitaka kupata watu 10 wa kujiunga na biashara yako inakupasa uzungumze na watu wasiopungua watu 100. 

Pamoja na kwamba inafundishwa hivyo, lakini matokeo yake sivyo yalivyo. Unajua ni kwanini?

Ni kwa sababu ya mfumo usio rafiki unaotumika kuwapata watu hawa. 

Hebu fikiria mchakato huu…

Itakuwaje nikikuonyesha MFUMO unakuwezesha kulamba asilimia 90% ya vichwa unavyoongea navyo... 😋 Je, utakuwa tayari kuuendea?

Ndiyo, baada ya kuamua kutumia INTANETI kujenga biashara ya Network Marketing… tumekuwa tukijaribu njia mbali mbali za kurahisisha mchakato wa kupata watu wapya wanaopendezwa na biashara yetu, jinsi ya kufanya uwasilishaji wa fursa, kuuza bidhaa, n.k, hatimaye tukapata suluhisho ambalo linakupa uwezekano wa ku-recruit asilimia 90% ya watu utakaoongea nao.

Hebu fikiria, unaongea na watu 100 kwa mwezi alafu 90 kati yao wakajiunga na biashara yako? Au ukazungumza na 20 kwa mwezi alafu 18 wakajiunga na biashara yako… hivi utakuwa wapi ndani ya mwaka mmoja? 🤓

Ni mfumo mmoja tu wa Braiweb QPAS unaowezesha hili… 

Unatumia hela nyingi katika biashara kuliko bonus yako ya mwezi?

Ni kawaida kwa networker yeyote, baada ya kujiunga na biashara unahitaji muda wa kujifunza mbinu na tamaduni mbalimbali zihusuzo biashara hii. Utahitaji kujifunza jinsi ya ku-prospect, kualika watu, kuonyesha plan ya biashara, kuanzisha na kukuza timu, uongozi, n.k. 

Pamoja na kwamba hujifunza mambo haya wakati huo huo ukiwa unafanya biashara, lakini kwa utafiti wangu niligundua kwamba huchukua muda wa hadi miaka miwili au mitatu kuweza kuelewa na hivyo kuanza kujenga biashara ya kuelekeweka.

Ni katika hatu hizi za mwanzo, kwa vyovyote vile utakuwa ukitumia hela nyingi kuliko unazoingiza. Swali linalofuata ni Je, ni njia gani inayoweza kumfanya huyu mtu aliyejiunga juzi aweze kuingiza kipato haraka iwezekanvyo? Hatimaye tukapata majibu yaliyopelekea kusanifiwa kwa Braiweb.

Dhamira yetu ni kumsaidia kila mtu anayejiunga nasi kuanza kupata kipato kupitia katika biashara ya network marketing haraka iwezekanavyo.

Kama umekuwa ukifikiria kufanya biashara ya network marketing, nina hakika Braiweb itakuwa chaguo lako namba moja na tuna sababu milioni moja za ni kwa nini ujiunge nasi… 😃

Jiunge na mafunzo ya kila wiki

Mafunzo maalum kwako wewe unayehangaika kupata wateja kupitia intaneti.

Unatumia Facebook kupata wateja?

Facebook ni chanzo kizuri cha wateja wa biadhaa zako. Software hii inakurahisihia kazi.

Badili Compyuta yako kuwa asset

Ungana na wafanyabiashara zaidi ya 200 walioamua kubadili matumizi ya kompyuta zao.

Braiweb Challenge

Nionyeshe mfumo wa masoko ya mtandao ya netowork marketing ulio bora zaidi kuliko wa Braiweb kisha nitakupa zana zote uzitumie BURE 🤓